Wednesday, October 2, 2024

FIMBO KALI YA KUMFIA SHETANI RUSIFA MAKALA NO2

# Taarifu ya uchawi# Uchawa nimaafikiano baina ya mchawi na shetani katka kumuasi mwe nyezimungu Mchawa hufanya baadhi ya matendo ya kumtii shetani na kumuasi mwe nyezimungu. Shetani wakijini umuamlisha mchawi afanye vitu vichafu vinavyo pingana na sheria ya muumba kwalengo la kumtii shetani ili amsimamie katika mambo yake ya kiuchawi Mchawi anaweza aka amrishwa na sheteni akanyage masahafu(Qur'an) aingie nayo chooni huku anaikanyaga Kuna wengine wana amrishwa waswali bila kushika udhu, Kuna wengine wana amrishwa wachinje pasina kumtaja Allah Kisha humtupa huyo mnyama sehemu atapo elekezwa na huyo shetani alie laniwa. Kuna wengine wanafanya ibada zakishetani kama kuomba nyota na majini wakuu. Na wengine uwamrishwa kufanya ngono na mama zao au mabinti zao au kufanya vitendo vya kulawiti Mifano katika matendo hayo nimengi ambayo shetani humuamrisha mchawi afanye ili amsimamie mambo yake. Utaona mpaka hapo kuwa shetani amsaidi mchawi wala hamtumiki ispokuwa mpaka kwanza mchawi amtii shetani na afate amri yakishetani kisha shetani ufanya kazi anayo taka mchawi endapo mchawi akienda kinyume shetani anasimamisha kumfanyia matakwa yake ikiwezekana shetani anamzuru mchawi au anampa sharti kubwa lakafara. Asipo tekeleza anauwezo wakufanya apendacho ila shetani akienda kinyuma japo sio maranyingi kwenda kinyuma endapo atoasiwa Ndug msomaji fatilia makala hizi atua kwa atua, tuna kusudia kuwa elimisha watu madhara ya uchawi na utendaji wake Nanjia sahihi ya kutatua changamoto zake. Tumeanda mafuta dawa na fusho lake kwa gharama ya tsh:12000 Kwaniaba ya maradhi yote ya kimasheitwan na maradhi mengine Tuna agiza mikoani na inch jirani Nimafuta mazur yenye matokeo mazuri kwa mgonjwa karibu sana Na kwa wale wenye changamoto za uzazi tunazo dawa Sim:0629000400 Whtsp:0683916534

0 comments: